ANDY BEATZ
HII NI BLOG YA KIMICHEZO NA INA HUSISHA MAISHA YA MASTER WA BONGO NA DUNIA KIUJUMLA
Monday, September 8, 2014
"GETO" LA BALOTELLI? Mario Balotelli ndio kwanza amerejea England, kwa mara ya pili, lakini inaonekana haijamchukua muda mrefu kugonga vichwa vya habari, safari hii kwa kuonesha "ladha" ya mitindo na mambo anayopenda. Mchezaji huyo wa Liverpool aliyenunuliwa kutoka AC Milan kwa pauni milioni 16, amekuwa akitafuta nyumba, na inasemekana ameichagua hii (katika picha) iliyopo nje ya mji, - eneo la Helsby, Cheshire - na kufanya ndio "keja". Na kama picha hizi pamoja na habari ambazo zimeandikwa na magazeti na tovuti kadhaa hapa Uingereza ni za kuaminika, basi inaonekana Balotelli ameonesha 'staili' yake kwa 'kuteua' jumba hili ambalo thamani yake ni pauni milioni 4.7. Nyumba hii ina vyumba vitano, ikiwa pamoja na kila kitu ambacho mchezaji soka , Kijana, milionea anahitaji. Vitu 'muhimu' kama bwawa la kuogelea, sauna, chumba cha kuhifadhia mvinvyo (wine cellar), sehemu ya kutua helikopta, uwanja wa mpira.. Na vingine 'vidogovidogo
Kiongozi wa upande wa upinzani wa Msumbiji, Renamo, Alfonso Dhlakama amesaini mkataba wa amani na rais Armando Guebuza katika mji mkuu wa Maputo, na kumaliza mvutano uliodumu kwa miaka miwili. Bwana Dhlakama, ambaye amejitokeza kutoka mafichoni, amesema atagombea katika uchaguzi wa urais mwezi ujao. Mzozo huo ulitishia ukuaji wa uchumi katika taifa hilo. Rais Guebuza anaachia ngazi Oktoba 15 baada ya kumaliza mihula miwili. Waziri wa ulinzi anatarajiwa kugombea urais kupitia chama tawala cha Frelimo
BREAKING NYUZI: HABARI ZA HIVI PUNDE!! AJALI NYINGINE MBAYA MAENEO YA KIEGEYA GAIRO, GARI LA ABIRIA KUTOKA DAR-TABORA LIMEPATA AJALI MBAYA KIASI KWAMBA WATU KARIBIA 48 WAMEPOTEZA MAISHA. NI DK 6 ZILIZOPITA..PICHA HAZIFAI KUONWA NA MIMI NIKO ENEO LA TUKIO KWA AJILI YA UOKOZI..VIONGOZI MBALI MBALI WA SERIKALI TUNAO HAPA..KWAKWELI NI MAJONZI VILIO NK. Air BUS DAR-TABORA.
Thursday, August 21, 2014
Bwana Desmondi Gudundi anasema kuweni macho katika nyimboo hii apa jamani tuache dhambi ili tufike kwake mungu alie juu
kimbulu boy ni nyimbo ilio tikisa sana hapa nchini inayo simulia maisha ya ukweli ya msanii black inayozungumzia maisha halisi ya wana ndugu kugombea mali za wajane na hata watoto yatima ina uzunisha sana
am unique ya Easy dorry ft Grey bosco ni nyimbo moja ilio beba ujumbe mwingi sana na ni nzuri sana kwa kupitia hulkshare utaipata na download nyimbo hii ili upate kuisikiliza vizuri kabisa
NYAMA NI NYAMA mwanaziki CHANGAPATA anakwambia maneno hayo je kwli nyama ni nyama hembu isikilize mwenyewe kama maneno hayo ni yaukweli
Karibu kusini; Watu wote mnakaribishwa kusini na mwanamziki kutoka nexus rec.... CHANGAPATA ni msanii mpya anae uelewa mziki wa bongo na kufanya vizuri katika tasnia hii ya mziki wa kizazikipya i download nyimbo hii kupitia hulkshare andy beatz na u like nyimbo hii kwa sababu inastahili sana
Wednesday, July 23, 2014
New song haya maisha. Star one top master & Baba G
Tuesday, July 22, 2014
Nyimbo mpya ya Andy beatz Ft Baba G Inayoitwa Money. ni nyimbo nzuri yenye ujumbe ndaniyake na inayo waamasisha vijana wa kisasa kujituma kutafuta pesa i download na uisikilize nyimbo hii!
Monday, July 21, 2014
Andy beatz ft Top master & Baba G, Rehema daniel Ni nyimbo mpaya aliyo ifanya mwanamziki chipkizi Andy beatz anaye fanya style ya kipekee kijana huyo aliye jikita kwenye sanaa hiyo na aina ya mziki anao ufanya ni hip hop angalia iiiii
Wednesday, July 9, 2014
Bashishi - Am Happy {Prod; Baba G} Nexuz Records 0752525297 {New song}
Gray Bosco - Missin' You {Mama G}Nexuz Rec {New song}
Gray Bosco ft Bashishi - My Son {Prod; Baba G} Nexuz {New Song}
Milli Mo - Nitasema {Prod; Baba G} Nexuz Rec 0752300683 {New Song}
Willz ft Gray Bosco - Sina Shaka {Prod; Baba G} Nexuz Rec Mas {New song}
Thursday, July 3, 2014
mziki ndo huu by andy beatz
ma new beat sikiza hiii ni hatari
Sikilza mfalme mwana FA
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)