ANDY BEATZ
HII NI BLOG YA KIMICHEZO NA INA HUSISHA MAISHA YA MASTER WA BONGO NA DUNIA KIUJUMLA
Thursday, August 21, 2014
Bwana Desmondi Gudundi anasema kuweni macho katika nyimboo hii apa jamani tuache dhambi ili tufike kwake mungu alie juu
kimbulu boy ni nyimbo ilio tikisa sana hapa nchini inayo simulia maisha ya ukweli ya msanii black inayozungumzia maisha halisi ya wana ndugu kugombea mali za wajane na hata watoto yatima ina uzunisha sana
am unique ya Easy dorry ft Grey bosco ni nyimbo moja ilio beba ujumbe mwingi sana na ni nzuri sana kwa kupitia hulkshare utaipata na download nyimbo hii ili upate kuisikiliza vizuri kabisa
NYAMA NI NYAMA mwanaziki CHANGAPATA anakwambia maneno hayo je kwli nyama ni nyama hembu isikilize mwenyewe kama maneno hayo ni yaukweli
Karibu kusini; Watu wote mnakaribishwa kusini na mwanamziki kutoka nexus rec.... CHANGAPATA ni msanii mpya anae uelewa mziki wa bongo na kufanya vizuri katika tasnia hii ya mziki wa kizazikipya i download nyimbo hii kupitia hulkshare andy beatz na u like nyimbo hii kwa sababu inastahili sana
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)